The good old days

[ATTACH=full]21828[/ATTACH] Our economy was almost at par with France and Sweden… saa ii it’s nothing to write home about.

2 Likes

hehehehe, hizi vitu tunaweka thursday kwa TBT.
WEWE UNAJUA VILE TULIKUA TUNAFANYA INTERIOR DECOR KWA CUBE ZETU
[ATTACH=full]21829[/ATTACH]
Kuna jamaa mmoja aliokota box ya tampons navile hakua anajua ni nini akazihung kwa keja.

9 Likes

@Meria Mata Tulikuwa tunastick na mkorogo was unga wa ngano.

6 Likes

tell them

The Zambian Kwacha and Swazi Lilangeni were stronger currencies than the US dollar?

Cube :D:D:D:D:eek::smiley:

2 Likes

'82 i was in form one, but then again most of you will doubt

3 Likes

ukikatwa ulikua huwes lala kwa nyumba ya mama yako tena, so with any availiable material you had to come up with your own abode ya 8 by 8 ata kaa ni ya matope. hapo ndipo jina cube ilitoka. i remember my first clumsy df session.

Na ufuate kila chembe cha wali na mdomo!!

1 Like

Which year did the Kenya Junior Secondary Examination ended?

1985 mimi nilifanya hio KJSE ya mwisho

Yaani hii area tunakuwanga na mabuda wako na watoi bana! Ati KJSE???:eek:

After passing KJSE in form2 your were to join Government sponserd school

yes, KJSE
Kenya
Junior
Certificate of
Education
Hii ilikua inafanywa form two. kaa hupiti unabakia huko form two.

In your own space. what are you doing aboit it.
Mimi huboeka na majamaa hushida wakizusha juu yaa time hawakuwa. What are you doing to make sure your kids wataishi maisha ya singapore kwa kenya ya saa hii.

its hard my friend, our kids on google are finding it hard. they dont know east to west

there is a species ya cockroach that loves that stuff,kubwa zinatoshana na match box,it was scary hearing them flying across the cube usiku wa manane

1 Like

Wenye hawana watoi ni minority.

[ATTACH=full]21859[/ATTACH]
remember this, pic stolen

1 Like

Yaani kuna mtu alikuwa mono nikiwa 1 year old? What are you doing on the internet dinosaur?

1 Like