The good old days

I remember back in 2001 when I was in primary school, kulikua na dem anaitwa Norah, who was like 22yrs at the time, sasa @Mzee mzima na @Chiefkiumbe kept sending me to call her, alafu wananipea 5bob, saa hio 5sh ilikua pesa iko na value, Norah ata hakua na mtoto, now am grown & I can’t remember the last time nilichukua slices Kwa dem hana mtoto, let’s respect hawa wazee juu nikama walikula vitu Swafi sana hizo enzi zao, Asanteni.

Moral of this story?

am wallowing in my self pity, what lesson can somebody surely pick

Kama ulikuwa primary 2001, wewe ni mtoto Sana mbele yangu. I had been working for five years at that time. Actually you are my son.

Nyinyi sasa ndio mlikula vitu Swafi, hio time jamaa alikua akidry fry alafu kunguru ishike ball, wazee wanakulazimisha uoe

Usijidanganye. In 2001 HIV was claiming ~700 lives in a day and had been declared a national disaster about two years earlier. There were also no ARVs.

Ukweli, najua wachichana watatu walianza kujia movies kwangu wakiwa Form 1. Sahii wako 19/20 na wako na watoto orede.

Kwani how old is the avg @Mwanakijiji ?

Wah… 2001 ata sikuwa nimeingia upper primary

:DMimi skuwa hata nursery.

Wewe ni mtoto basi… But nothing is stagnant. Soon utakuwa nilipo nami nikiwe mahali @Chiefkiumbe ako.

hao sasa by the time watafika 28, watoto wataficha gishagi alafu ukitomba mara tatu hivi, ndio wanakuambia ukweli kuwa ni masingo maza

2001 navy seal nilikuwa form 3

30-40

wueh wueh sasa I will be more respectful towards wanakijiji.

2001 5 Bob was nothing.

Siku hizi nikiangusha 5 Bob kwa nyumba hizo Nita chukua saa ya kufagia nyumba :cool: