Only Kenyans will eat an octopus and will never touch a donkey… How do you put this in your mouth??? WTF is wrong with a donkey???
Wakanyama butchery hii wiki stock nyama ya punda kama wanakula octopus sembuse punda?
Kama mzungu angekua anakula nyoka, siwafichi nyoka ndo mngekua mnakula instead of nyama choma, unaskia web devil ameambia wakanyama, ebu choma io mkia ya puff adder… UPUS… Mwafrika ni kufuata tu
P.S Mkufuu I take nothing from your food, the end product looks good but still…
Btw safari yangu ya Mombasa ilifutiliwa mbali sijui nitakuja lini lakini nikija nitamwagiza pweza wa kuchoma hapo Mtwapa. Usipofurahia watakutengenezea tafi. Mara ya mwisho nilikuja huko wakati wa marathon nilikuwa na shughuli mbali mbali sikuweza kukutafuta. Wakumbuka mahali hapa?