The Fifth

Mimi I’m already in Canaan, na staki story mingi. It’s time for milk and honey. Tumeteseka ya kutosha in the wilderness na Jambazi mkuu kutuzungusha kwa desert for 40 years akituibia mpaka tokens. Anyway baada ya dhiki faraja. Tumefika stage watu wadondoke wakakule asali na maziwa.

https://www.youtube.com/watch?v=DTeHBuvC-WE

jambazi mkuu ni uhunye?

:D:D