The famous wakanyama butchery.

Jana nikiwa kwenye pilka-pilka zangu za kunukisha kitungu. I came across wakanyaks famous butchery. @Motokubwa which makes him boost how he has made it big in his life. [ATTACH=full]205506[/ATTACH][ATTACH=full]205507[/ATTACH]

hehe,
001 pia @jumabekavu atanukisha kitunguu vizuri sana, hebu kanjoo waguze mifugo yetu wajionee.
[ATTACH=full]205520[/ATTACH]

Hii ungeita watu wa Arsenal akina panyaste, toka mbio na wengine.

Wacha ni edit.

Hii ndio base ya wakanyaks

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2016/02/93923_4e36596165c18748a62bd82e7593e5cf.jpg

This is sad

Huyu muyamaaaa anauzia watu koreraa.

:smiley: mpaka notice ya vacancy kwa pigsty hapo kwa mlango ya fusheri

http://www.mediamaxnetwork.co.ke/wp-content/uploads/2017/12/Rib-cracking-nganya-Sacco-names.jpg

WAKA GROUP OF HANDLES NI KUBWA SANA

Hapo inakaa Githurai 45 base ingine tulikuwa tunakula matumbo na ugali ya 30 bob huko miaka ya 1999.

na watu wanaishi huku

Respect Arsenal tafadhali

Very sad

Ndio hii kabisaa…! Wakanyama utajitetea ukiwa side gani? :D:D

wacha na semeji priss

wacha na semeji priss