The Emir of MSA Sugar Baby

https://www.youtube.com/watch?v=9q_sxowKSjc

siwezi mind kulipa thao

Capote these are the women we can allow to masquerade. She has her own money,good job. Very respectful of her ex. She also enjoys good alpha male D na hajifanyi.

Tengeza Mapaja I also deal with you ungare Kama huyu.

Siungoje ugonjwa iishe jameni. Lakini how many gfs does Joho have Sasa atatosheka na 72 virgins kweli at this rate. He needs to slow down. Is the D for the grade? Joho is not alpha, ni vile tuu, he’s very hendsum. Very hendsum. Halafu hio voice yake ineza kumix. Soprano. Even feminazi can admit Emir ni shnack. Sasa, naskia wanatafuta watu wa kudunga vaccine, enda ukirudi alive ntakupikia chapo. Can you imagine ati Unye sent complimentary flowers to UK nurses with a personal msg. Meanwhile in Kenya nurses are threatening to strike due to lack of PPEs. Aki hii inchi.

But @capote you claimed urembo was mwnaume ni pesa. Sasa Sultan is getting you wet UKAWA confused na bado hajazama.

A Playboy Governor with serious Mulla. A Mafia Don.

Serikali iheshimu Kenya nurses na other medical professionals/

Mtu kama Hana pesa hata hendsumness Hua Inaisha. Ile sura ni sura ya pesa bana. Have you seen his bros? Ukiona nasifu mwanaume his money is on point. I thought that was obvious. Mimi mwanaume asiyekuwa na chake hata uwe muhendisamu kama kioo, all I see is your broke ass. So pesa ndio criterion ya kwanza to me which I thought is obvious via my avatar and my Skiza tone. This is my Skiza tone so that if a broke ass calls me, ajue mapema, money is a non negotiable when it comes to me. Huwezi nitoa kwa Maisha mazuri unipeleke date kwa kibanda. You should know people wa kupelekea ufukara. Here is my Skiza tone.

What matters to Unye ni nurses wa UK. Ametumia maua na personal message ndio AID itoke.

dama

damaged g…

Hao munaita damaged goods ndio Emir anapenda. He’s saving the virgins for Janna.

something is wrong somewhere i cant imagine 40b and hakuna ppe especially masks