Brejin wangu mmoja alidecide kurent shamba ya quarry. Alafu kukanyesha… (ile mvua ilidemolish Solai dam)
Quarry iliflood, magari haziwezi ingia. -Landlord bado ANADAI. -
Sahii 4+ months later ndio quarry hakuna access…
[ATTACH=full]198736[/ATTACH]
Anyway, Leo nimepromote huyu brejin wangu!.
Kama unataka mawe ya kujenga holla…
Pia Leo nimeskia speech ya Gathecha pale Makadara. Ati amesema maaze hii Juakali should be propped[ATTACH=full]198737[/ATTACH][ATTACH=full]198738[/ATTACH] up. Nyinyi mambirrionea wacheni kununua shiet ya China (especially furniture) support local…