The day we walked naked

Kuna siku tukiwa highschool tulikuwa tumepea mono shirts wafue halafu wakazi-lost kwa clothline. Hao ma-mono tukawashow tu-meet 4pm kwa dorm ndio wajibu mashtaka. 4pm kufika tukatoka daro tumeshuka mbio mbio tukawachangamkie…so tukawa lineup kwa upande mmoja wa dorm then Jamoh akawashow waskume dorm mpaka kwa uwanja ya hockey halafu tuwasamehe. Mono zikaanza kuzubaa eti dorm haiwezi sukumwa juu ni hao…waaah Samaki beshte yangu akakula moto aje?..akaseti mono wawili mangumi halafu yeye na Mende wakaenda kusaka viboko ati “tukirudi tupate hio dorm imesukumwa ama mhame hii shule!” Sasa wakaniacha hapo niki-supervise. Mono zenyewe zikaanza kusukuma dorm huku zikihema na ku-sweat…venye niko hapo Makende Chatu (mwode wa geography) akakwom akaniuliza MKUFUU WHAT ARE YOU DOING?? Mi nikamshow tunafanya tizi za hockey…kuuliza mono zikasema pia zinafanya tizi za hockey so Makende chatu akatwambia twende kwa uwanja tukapractisie na huko. So mimi na mono zangu tukaenda kwa uwanja kina Jaymo na Mende kurudi na viboko wakaget Makende Chatu bado yuko hapo but fala hazikuwa zimemwona zikaanza ati “ziko wapi hizo mono tuzinyoroshe??” Makende chatu venye alikuwa mgwan akaseti Mende slap noma…jamaa hata hazikuambiwa kitu zikakimbia straight uwanjani zikaniget na mono tumezubaa hapo. Mende akashow mono zikiulizwa na yeyote ziseme ni tizi za hockey zilikuwa zinafanya na hazitujui. So sisi tukaona Makende chatu atakuom uwanjani coz yeye ndiye T.O.D (teacher on duty) na anaweza tuunda tena. So samaki akasuggest tuhepe tukiendanga swimo halafu turudi before supper na preps coz makende chatu anakaa kujam sana.

Tukaenda kwa korner ya uwanja karibu na fence, Samaki akaruka kwanza, halafu Jaymo na Mende, halafu mimi nikafuata mwisho. So tukaingia kwa shamba ya mei tukiteremkanga mpaka kwa rive…hio rive ndio tulikuwa tunaita swimo. Samaki kufika akatushow tutoe nguo ndio tuzifiche kwa mei juu huyo mwenye shamba ya rive akizipata atazibeba… Samaki akatoa zake mbio mbio halafu akaanza kuvunja miwa huku akichew mpaka vein za shingo zinatokelezea. So venye tulimaliza kutoa clad, Samaki akavunjia kila mtu miwa yake akitumia knee yake. Maze tulikuwa na ubao ni kama hizo mono zilituwachia njaa. So Mende akaanza kutushow venye hizo mono tunafaa tuziunde after prep huku aki-shout shout na kuswear ati ataua mtu hawezi chapwa slap ivo na Makende Chatu juu ya mono… So venye tulikuwa tunabangaiza hapo tukikula miwa tukasikia “Chubwi” ni kama jiwe imerushwa kwa mto. Kuangalia ni Mshale…wah wah wah. Kucheki juu ya mlima kulikuwa na kamzee kameketi chini halafu kamekanyanga hio part wooden ya bow na miguu zote mbili halafu kameshikilia mshale na mikono yote miwili. Wah! Wah!..Mshale next ukaachiliwa ukakuom ukiguruma kama jiwe…Ukatuhata sisi wote ukaingia ndani ya migomba tatu ya mandizi…weeeh! Kamzae kakaanza ku-load another arrow. Maze sisi kucheki ivo tukaruka kwa mto bila kuambiwa…Kucheki mbele yangu Samaki was running on top of water kama yesu mimi nilikuwa na swim nyuma ya Jaymo. Maze Mende akaanza kunishika mguu juu analemewa kuswim mi nikaona wacha nisimame but then Mzae akaachilia mshale mwingine ukapita na mamahindi huko juu kwa shakey…waah! Mimi nikarusha kick nikakanyanga Mende kwa chest ndio aniachilie nikihepanga. Finally tukafika kwa iyo side ingine ya rive tukiwa safe sijui Mende alicome aje. Juu tulikuwa tunaswim against the current ngotha zetu zilikuwa zimeenda na maji…so tukajificha kwa mei mpaka 7:00pm halafu tukatokelezea kukiwa dark tukiingia dorm kuvaa clad…wah. hata supper hatukula. sitawahi sahau iyo day.

21 Likes

I thought it was about pre-Homo habilis era:D

hehehehheheh ENYEWE WAKAMBA NI WANOMA KWA MISHALE . HAKUKUWA NA BESTE YAKO ANAITWA PWEZA

4 Likes

Hehehehe zima hiyo bangi sasa

2 Likes

BOSS UTAENDA JOB SAA NGAPI AMA NIKUPEE HII MIDGET UKAMUE

1 Like

Nitafanya kazi from nyumba… Midget yawa kwani ni coomer ulikosa? Afadhali hata arimis

What do you call sex with a midget?

MIGEX

1 Like

Hahaha ati ngotha zilipelekwa na maji :D:D

1 Like

:D:D:D:D

Ambulance leo inanibeba Omwami unanimalisa na chicheko.

1 Like

Cha mkufuu mwanafuu ha!!!

1 Like

samaki walks on water like jesus

http://www.factzoo.com/sites/all/img/reptiles/jesus-lizard-running-on-water-basilisk.jpg

6 Likes

@Mkufuu, mende siju izi ye hu do job gani? i bet ni makanga

1 Like

:D:D

:D:D:D:D:D

What a way to start my morning… Kali sana

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

[Makende Chatu brings back geography papers]
Makende chatu: Samaki Nakare 10%

Class: Hahahahahahahahaha. … Kkkkkkkkk (Laughing)

Makende chatu: He is the highest…

Class: :eek::oops::confused::confused::eek:(Mute!!!)

4 Likes

:D:D:D:D:D:D woi aki mtanimalisa :D:D:D

1 Like

Hehehe.
Gud wanu.