[MEDIA=twitter]1623649845260034049[/MEDIA]
Sounds like an impossible task…
what anasema kuna hurdles kadhaa inabidi ujipange proper ndio ufaulu
Manufacturing ile inaweza Kenya kama wewe ni small fish ni ile unafanya chini ya maji using stolen electricity na hakuna story za Kebs, KRA, Nema etc. Kama ile ya kariobangi. Anything else ni kujitafutia ulcers bure.
true… enda process ya kuanzisha small to mid-level company:D:D:Dutachapiwa hesabu karibu 1m… kuzungshwa from office to office… sasa venye gov ni ya tugege:D:D end tu fungua tanzania
that conversation is an eye opener and why im looking for funds to exit this shit hole…hii upuzi cannot be wished away…no serious person will set up a manufacturing plant here