The cold's real................

[ATTACH=full]45979[/ATTACH]

Nunua shower ya maji moto, braza.

Alafu unaskia mjinga akiwhistle ile song ya catholic “uninyunyizie maji, bwana…”

Why do weed smokers develop phobia with things to do water, shower to be price?

fangi is unpredictable…i know one who could only smoke in the shower…

ps.- the only time i ever tried it and hated it for ever i felt earthquakes whenever i closed my eyes in the shower…

Hata sielewi vile bangi imeingia kwa thread ya kuoga. Comprehension is a bitch.

… niwe mweupe kabisa, Bwana, kama vile theluji, … uninyunyizie maji …

Sai hauwezi watch nigerian movie everytime ni ,“OGA ooh”

Niwe mweupe kabisaa…

Watu wa Catholic schools wanajulikana!

Hata pia mimi nilienda catholic school lakini sijui hiyo wimbo