Naskia huko canaan kutakua na tribes???!!
Walevi- Levits
Wa kupenda salon- Thesalonians
Wa haga kubwa-Haggai
Mafisi- Wafilisti
Wa mahoodies-wayahoodie
Prisss…choose your categories…
Naskia huko canaan kutakua na tribes???!!
Walevi- Levits
Wa kupenda salon- Thesalonians
Wa haga kubwa-Haggai
Mafisi- Wafilisti
Wa mahoodies-wayahoodie
Prisss…choose your categories…
[ATTACH=full]116588[/ATTACH]
Wa haga kubwa-Haggai ndio hio
Wewe jibu hii swali kwanza. Huyu ni wewe kwa avatar unatusafisha mecho? ![]()
Lmfao…uliza @The.Black.Templar
Hizi jokes zinaboo…
@The.Black.Templar jamaa wa TP kam kiasi priss.
@screwplus tusaidie zile gjf utakuwa unaweka canaan
Ni yeye…si ako tops!
…wakati Joshua 5:2
Kabsaa. ![]()
Naeza uza quota buroti :D:D:D
Kuna blogger ya NASA twitter inakuwanga na same profile picture. Huyu ni mwanaume, pic for attention
[MEDIA=twitter]891978911139213313[/MEDIA]
tulisema hizi upuss za kuzungusha zukabaga na whatsapp ziwachwe huko
Si pia wewe ungeachwa huko…