The Boeing 787 Dreamliner Investigation by Al Jazeera

https://www.youtube.com/watch?v=rvkEpstd9os

Ungeweka na vijimaneno kidogo

[ATTACH=full]177117[/ATTACH][ATTACH]177117[/ATTACH][ATTACH=full]177118[/ATTACH][ATTACH]177118[/ATTACH]

majangaaaaaaaaa

Hata sijaelewa labda mnipakulie labiaa

Nimeshindwa kuelewa thread, ntaelewa comments

[FONT=courier new]Siku nyingine ukiwa unaandika ’ Headline ’ uwe unajiridhisha kama ipo sahihi au kama basi hujui vizuri ’ Kiingereza ’ kama Mimi uwe unaomba ’ msaada ’ wa wanaokijua vyema. Japo sijui ’ Kiingereza ’ kama Wewe ’ mbobezi ’ wake ila hii ’ Headline ’ yako isemayo… [COLOR=rgb(184, 49, 47)]The Boeing 787 Dreamliner Investigation by Al Jazeera nitaikataa hadi Mbingu igeuke kwani ina ’ ukakasi ’ wa Kutukuka.

Nakipenda sana Kiswahili changu, Kizanaki na Kinyarwanda bila kukisahau na Kimakuwa.[/FONT]

Ebu ngoja niendelee kusoma comments, labda nitaelewa badae

Doh