3-0 to ze blues
Kasia
Tombwa
Humbwer!
tukutane after game
@hakimoto uko wapi? ama bado unafwatana na wamama wazee kwa madanguro
Wacha kunitaja ovyo ovyo game bado change.
Watching via The Crew Add-on on Kodi Wadau.
Flawless…
Wadau nmeland. Naona swara @uwesmake imelala mapema leo
naskia ako msalani, food poisoning
Hio ni Swara kabisa.
Ona umemtaja tu Antony akaumia
2-0
Chinja ua!
Maliza hii ghaseer!
Wacha abakie tu abakie uko. Jinga yeye
Timu nì njengaa!!
OP is retarded 4-1 reason, thinking Chelsea can beat Man United
Nikutaje sasa now that imeisha ama nisubiri kidogo?
Manunited was Pathetic in that game kama uliona ukubali. Fofana gave away the match three goals were on him. Chelsea had 65% possession and waliuza over 5 goals .
with that kind of bulsshit play City itawadinya 5 nil fainali.
Lampard arudi akue captain. Alafu Mourinho arudi Kama manager