Hey members, what’s the beat price for an imported fielder car 2013 model?
1.25 m
Surely unataka tuchome fikra zetu ju ya Toyota?
- Cheki na Olx zitakuambia bei ya hizo gari. Hapa ni matusi tu.
- Ukinunua fululiza uweke rivets, tracker tatu na comprehensive cover.
Sisi apana tambua kafunda cc ni watu ya alto iko nene
1.3
1.25m
Nunua Axela
1.1M-1.15M
Hahaha i heard fielder huibiwa in seconds
Ushawai omba fielder halafu ikabidi usimame supermarket ama mall to buy stuff?
Huwezi kuwa na amani as you shop. I wonder how owners stay calm na hizo gari. Hata my cousin parks the NZE tu bila wasiwasi. Do they hide the worry well ama they just not worried?
Leta 1.2 gari utapata baada ya mwezi