The baby with her head on her mother's thigh broke my heart

Aki kama hizi ndio relationship acha tuu ikae. So painful especially mbele ya mtoi.

@rexxsimba Isn’t that bruise a sign for Internal Bleeding?

1 Like

Bwanake?
Kweli kuna ziraili wanafanana na binadamu. Hata mnyama hastahili kupigwa hivi.

1 Like

Alifanya nni

Context?

Melete kwangu nimpe P3 Form Ya Mashtaka mara Moja …
Halafu akipona , nimpangie CSR Program Kali Sana ya “Mke Wa Mtu” …:joy::rofl:

2 Likes

Definitely a lot of blunt force trauma …
Probably even fractured ribs …:rage::thinking:

2 Likes

The world we live in nowadays. Huyo jamaa anafaa kupigwa na mawe mara kadhaa

1 Like