The amazing Victor Osimhen of Nigeria

Chiefmbuta

Huyu boys ako safi sana

He scored his 100th goal in just his 197th game, faster than Messi, CR7, and Ibrahimovic. Angekuwa manchester united FC sahi angekuwa anaitwa the next PELE :smiley:

What you are forgetting kuna kijana anaitwa kvarakhelia. Muoto kama pasi. kijana alikuwa anakataa umbwaaa za Liverpool mbaya mbovu. Hadi @Condor na @Meria Mata wakatolea yeye kofia.

Wacha niingie YouTube nimtambue.

Nmeona game yake, can be easily predicted but ni season yake.