The 3rd one killed me. The 3rd one just killed me.

Hiyo bao ya pili ya Real Madrid felt like a stab to my heart. Then this greasy haired portugese metrosexual hits our net with the 3rd goal!

I slumped back into my seat. Nilikuwa naangalia TV lakini hakuna kitu naona. I could feel life oozing out of my ‘chest wound’. Sikumbuki vile game ilienda after that…na ilibidi nilale hapo kwa sofa mpaka leo asubuhi. Nimeamka ku google results, nione kama Juve wali make a suprise comeback…nikapata kuliendelea kunuka even after nime dedi.

I feel like hurting that greasy haired portugese metrosexual. I can’t even mention his name. He is anathema! to me.

What brought me back from the dead was my love for Juve. I still need to see them kick butt in the Seria A next season. Forza Juve.

6 Likes

Nani…Cristiano Ronaldo?

1 Like

CS ya 2:4 ilikuwa na odd ya 100. Nkasema Ntupe kamia kangu apo just incase my juventus is whipped. Yaani si wangewachilia juve ifunge angalau kengine gaaki.

Hehehe,bet ilichomeka vizuri.

1 Like

Fixed

2 Likes

I don’t bet. Na rent yangu ya 2017 nimelipa mpaka November…coz napanga kuhama Dec. Saa hii hata number ya landlord nimefuta kwa simu yangu tayari.

2 Likes

he he he. na vile nimekamua mhindi. Boss, saa hii nangojea maini choma.

1 Like

Chocha ndio ulipenda. Isokey

2 Likes

Rent ya 1500 ndo tunaambiwa wasee

4 Likes

Juventus just stopped playing in the second half, nilichoka nao sana

2 Likes

[ATTACH=full]103824[/ATTACH]

Anachekea nani sasa?..

1 Like

2nd Half niliumwa na roho

1 Like

@Rolling Stone = Mchawi @jumabekavu but niliwaambia kitambo racist Italians ni ngombe

Jinga sana

Mchawi haungeroga ronaldo?

1 Like

Zilibounce njiani

1 Like