That Day of the Year

That’s when we’re en-route.

[ATTACH=full]340888[/ATTACH]

Town

Niaje brown chieth.?

Ng’ombe wewe there is a difference between lntrovert and introvert .One starts with l for liberia the other I for India .

Tukifika huko, yes, we stay at Panari juu hakuna vile naweza kulala kwa inlaws. On the way there, I find the journey too long so we split it into two. Either Nyeri or Naivasha for layover. Umeelewa sasa?

Nyahururu should be a good drive, pita Njambini Olkalou-Nyahururu

Nilipitia ya Naivasha-Gilgil. It was a nightmare of diversions from Westlands to Limuru. Nikirudi nitapitia Nyeri instead.

westlands to limuru is nightmare, I’m lucky mimi huanza na sourthern bypass so nikifika Thogoto nachukua hio route ya kina guka natokea Mutarakwa
wewe ni wa Thika road, kuna hiyo njia ya Kamwangi, unaingia msitu inakutoa Flyover then Njambini bila kugusa Nairobi Nakuru

Hiyo njia imepitia kwa msitu. Nilipitia a while back and niliona kama ni dangerous sana.

ju ya ndovu ama watu?

Zote

Huwezi lala kwa in laws??

Yeye ndiye kusema, engineer hana lake

H

Heri kupatana na ndovu kushinda watu

Yaani hata baada ya kupewa advice on which route to use, you still chose Nrb - Nkr route?

Hiyo part ya Msitu after the kenyatta tea farm is not good especially for saloons. The road needs to be recarpeted.

Utakuja White Rhino siku gani nikununulie soda?

was there early last year and it was vey motorable, nikaa imechapa zaidi

Mbillionaires, flys from WIL to NYK airport …apana tambua wilder beasts migration, chieth.