Thanks to God

Ashante mungu,it’s raining ,na i will say it mkubali,mkatae ,mvua ni baraka kutoka kwa mungu,sio miti huwa inafanya kunyeshe

Wapi huko hapa wet winds tu na stars in sky!

ni leafy suburb

Hapa Kasa , kutoka watu waanze kuona Aliens @Riva ,mvua imepotea

wakanyaks kwani umehamia ruai?

siwezi kaa mahali meffi za meffi za nairobi zinaenda,mimi ni mzaliwa wa upper nairobi lakini ninakaa ndeiya nachu

Tunagoja mvua Kama world cup :smiley: , nature has been very forgiving to Africans but its seems that time is coming to an end Mozambique is an example, we MUST get our act together now rather than later. Kama uko mashinani kwa farms when it rains harvest as much water as u can coz depending on this govt to build dams is like waiting for see a flying saucer criss crossing the skies. Hapa Nairobi like always we are doomed. But anyways let it rain!rain!rain!

huku kunanyesha goats and cows

Wapi?

FISKED

@Motokubwa watata watinda atia?

KIMILILI

Eti mvua? Wapi huko?. Hapa ni sola bado.

Finally hata sisi ametukumbuka

Aliens have stopped the rain! :smiley: