Uncle best kama kawaida anapenda kutafuta pesa. Niko na Mboga 400 kg Nsaga na soko iko ready. Since I am a very busy man, nikaambia a friend of mine atafute mkokoteni aweke hapo Kayole Naivas kwa stage aweke mbogo na wateja watakuja by COB atakua na elfu yake mbili na aende home a happy man.
Jamaa juu he is too proud he preffers akae mtaa na aombe handouts. Kuna watu hawawezi saidika. Evidence ndio hiyo. [ATTACH=full]111696[/ATTACH]