[Test 010] ati tulisema kelele za mbwa koko hazifanyi nini ?

@militiades hoyeee! @militiades tibim! @militiades tialala! @militiades power! [SIZE=1]washenzi [/SIZE]

https://www.youtube.com/watch?v=FRB-eXs-ZV0

best viewed in 720p

Wapi dush zile ziko kwa desert?

those things take time to model, animate and render…you’re right some motion will make the scene come alive

The distant cars though,ziko hyper realistic,hapo umekafunga. Nimezoom in na bado iko sambamba.kazi safi, endelea hivyo hivyo kaka