Seen some several tenders of commodities I can supply to GOK. Problem is that, its my first time doing it and nimeona nahitaji bank guarantee yet the bids are closing on Thursday 13th July. My question is, what will be the banks requirement and how fast can they process that.
Saa hii ungekuwa kwa line ya bank ukiuliza hii maneno
Your name betrays your intentions alafu hio cosing on Thsday ndo nini? With this kind of words economy huwespata tender hata na ombitho.
tender kama hauna mtu wa ku facilitate wachana nayo, unapoteza wakati yako
Tafuta watu wanaitwa Investor capital. Ulizia dame yello yello anaitwa Susan ama pitia ABC bank Kionange st ulizia dame anaitwa Sabina.
Tender ni ngumu kiasi kama huna mtu unajua but all the best mjamaa.
na bank guarantee usiji commit kwanza enda utengeneze a fake one hapo tao
Umepoteza kijana hapa:D:D. Incase he wins the tender, he is going to be scrutinized and if they discover he faked some things that will be the end of his tender. Sometimes you need to spend money to make money. And it’s not that expensive anyway.
acha ajaribu bora it is not anything dealing with a bill of quantities because hizo ziko na wenyewe, spending money ni kupatia the person awarding the tender kitu kidogo