Tembea Kenya

The nature of my business allows me to travel different places, so leo nimejipata on the slopes of Cherangany place inaitwa kachibora. Very cold place ilibidi nikunywe chai kutoa baridi.
Anyways shida ya Bonobos huwa nini? The guy i was to meet aliniweka 45 mins. Imagine the journey from Nakuru to kitale to Cherengany that is like 6hrs then a bonobos anakuweka parking.
[ATTACH=full]449792[/ATTACH]
[ATTACH=full]449802[/ATTACH]
[ATTACH=full]449804[/ATTACH]
[ATTACH=full]449806[/ATTACH]

Shiet.

I hope to relocate to ushago next year.

Check views from the last pic. Been a while since I saw trees

Kwani unaishi Paipu?

Banae

Kwani unaishi pande gani hiyo.Ata Kitengela despite the vumbi kuna miti

Paipu hakuna trees

Nunua kagari sasa, Hata kama ni Duet au March itakusaidia sana. Matatu na hii biashara ya kuzurura kila mahali nikutupa masaa yako

Hamia utawala basi

Ni mkulima mdogo

Duet ni gari ndogo pia. 600cc