Huku ni wapi? Identify for 100000likes
[ATTACH=full]107771[/ATTACH]
2 Likes
Leopard Beach?
Kilifi
lake turkana
homa bay
Nope
Kilifi wapi?
Hehehe ii inakukalia lake?
Kando ya beach
Mzee io whitesand ni ya homabay??
Mombasa
Mnarani
1 Like
Or somewhere around there…mada hotel
umesawahi sikia homa lime?
Bado uko mbali
1 Like
Sijui ata nini io but the other side io ni beach
Hint: ukivuka io beach unaingia watamu
1 Like
kwanini unapiga nyumba yangu picha?chieth guok
uyombo?
Mi sitaki kujua huku ni wapi. Nataka kujua kama hiyo keja ni yako @MISCHIEF
watamu Beach
Hehehehe yu are right…jina ya hio ni?
Tht will reveal my identity…so ntanyamaza