Tembea Kenya

Huku ni wapi?
[ATTACH=full]100031[/ATTACH] [ATTACH=full]100032[/ATTACH]

1 Like

busia

uko mbali sana my fren, kwani busia kuna coconut trees

hahaha

lamu mainland

what happened to the bridge

right provence but wrong county.
this bridge has been under construction for centuries.

Ni wapi hapa ndugu? Kilifi county ama Tana River

1 Like

kinango

1 Like

@MANKI pale gunnery kando ya river sio kuna coconut trees believed to have been planted by Ronald ngala. @Meria Mata since you are the pwani correspondent naeza Sena hapo ni kilifi

1 Like

Mwache Bridge in Kwale county, those boys you see on the bridge made that ramp and are charging people 20 bob to close, nd-ubers are paying 200.
ngari haziwes pita

1 Like

Asante kaka, naona kweli umetembea Kenya. mbuzi moja huku ni 400, beberu mkubwa kabisa.

[ATTACH=full]100048[/ATTACH]

4 Likes

:D:D:D:D

:D:D:D:D:D Zaoshwa cha lazima? :smiley:

3 Likes

Huwa wanafanya hivo to kill pests, hata Uweskimwi nliona akiosha sheppat zake hivo

1 Like

:D:D:D:D

These are @mukuna’s donkeys!!

1 Like

This photo reminds me of @mukuna :D:D

1 Like

[ATTACH=full]100124[/ATTACH] [ATTACH=full]100125[/ATTACH]
[ATTACH=full]100126[/ATTACH]
katika pita pita Za kutafta onions (rings ni baadaye)

Cc @MISCHIEF @Meria Mata
Hapa ni wapi?

Is this that a still out of “Donkey Dancing” that Coastal box-office hit?

Hizi mafala zinacheza na punda, don’t they know those things bite???