Tembea Kenya

economy at a stand still.
Guess hapa ni wapi?
[ATTACH=full]93620[/ATTACH] [ATTACH=full]93621[/ATTACH] [ATTACH=full]93622[/ATTACH]

Somewhere between miritini-jomvu

Naona Mazda Carol inajaribu kuenda offroad

Between Jomvu and Mikindani Junction

leo nikubaya, naona kaa ni hii watu wa nairobi wametuvamia, why oh why dont they go to Naivasha?
[ATTACH=full]93625[/ATTACH] [ATTACH=full]93626[/ATTACH] [ATTACH=full]93627[/ATTACH]

Hehehe.
Jumakubaff ameweka diff lock.
Ako Rhino Charge mbaya.

Hehe pia mimi nadrop coast hii friday…

hapo ni Doshi miritini

Leo gari ndio zinakwamiana??:D:D:D

Mlolongo.

watu wa nyairoffi should diversify and try other towns other than coast

lets suggestions bana…sio kudismiss vitu without an alternative

there are two beaches that are under utilised up to date…Kisumu and lake Turkana