Tembea Kenya.

Hapa ni wapi? [ATTACH=full]81545[/ATTACH]

2 Likes

Mandera, hiyo “desert” has power. Things are changing for the better.

Nope bana, teremka chini ya equator.

huku ni msa road, malili ama mbele zaidi,hapo ni kiwanja Ya @Meria Mata kuangalia kama pressure diesel Iko Sawa by emptying 20litres kwa mtungi.

8 Likes

leta picha zingine

huku lazima iwe ni ukambani

2 Likes

Hehe kumbe @meriamata hufanyia makamuzi hapa! Ok mbsa road wapi haswa?

1 Like

Wapi?

Yep you got it! Niko hapa Kabesta, btw this guys wako na kanga(Guinea fowl) What is the trick ili zisikimbie, Would love to have a few of them pale our Ndabibi farm Naivasha.

2 Likes

Tafuta kamuti

oo vaa

2 Likes

Hapa ni kwa kina @kingolonde , mwisii wa diesel na tyres

3 Likes

:D:D:D:D:D senzi!

1 Like

When did it rain?

Kabesta is advertised so much in njata tv:D
Kanga huwekwa green grams kwa maskio ili zisihepe kwa boma… …

Hehe nice place

Hehe nice place