Tembea Kenya - Happening Now

[ATTACH=full]97169[/ATTACH]

Hapa ni wapi!?

‘Water front’ Karen… sijui if that is the correct name tho. seems uko kwa ofisi za fly540 ama southerncross safaris.

Yaani thats the name…lakini you are righ…althogh hizo ofisi sijaona

Judging by the angle of the photo, I think it was taken from either of those offices.

Hate this sh.it! Just say where it is!

Thought it would be different since it was you posting but it’s still the same dolt stuff!

“Hapa ni wapi?” F.UCK THAT!

Chill man…just chill. Hapa ni nyuma ya the hub Keran. The waterfront

Hehehe… you and malls. :D:D

Tuko hapa
[ATTACH=full]97203[/ATTACH]

Rolfs place

The hub bwana, water front bado iko under construction, hapa ulikuwa kwa 1st floor balcony that leads to the food court

Nice

My second time in Karen. Imagine tumeget tshirt na 200bob. Madeals bana

Yep

Unakuwanga m-funny sana…:D:D

Water front iliisha kitambo sana, unilever waliingia hapo 2015 fly540 na southern cross safaris pia Wako huko.

Thats water mark baba, sini hiyo office park ilijengwa na zile pesa za wizi za chase bank. Water Front ni an upcoming mall iko hapo opposite dp’s official residence

Nimeona pia ofisi ya @a4architect mahali

that’s why in my 1st comment I said I wasn’t sure of the name. Thanks for the correction.

@Purple, Black Templah looks out for sales. Hizo Tshirts za 200shs ni design gani? hehehehehehehe. I once read him talking about deals huko 2 Rivers za errrrrrrrrrrrrrrr toilet rolls. Hehehehehehehehehehehehehe. Ilibidi I head there as I was visiting someone nearby.

I thought uko abroad?..si ulipata deals huko?