Telkom Night Bundles.

Download your favorite movies with Night 5GB bundle for use between 12am and 6am for only 39/-. Dial *544# to subscribe.

Telkom issa no joke.

Wasipo-improve network strength ata wapeane 10gb at 10 bob, yote itakuwa upus tu.

5gb Movie ya ultra hd haiwes.

this is the real thang

Watu wa Zuku tuketi pande gani?

Well said. Telkom 4G inashida even Kwa office zao Hua haiconnect. I was at there office kununua MiFi and the sales lady went outside the building to configure the device. I asked her and she told me not to worry. Kufika mancave KIAMBU ROAD MIFI haiwork. Nilikua naweka MiFi hapo nje ya mlango but network ilikua 3g. Complained but wakanipuuza. Safaricom fibre / faiba 4g iko area sahii. Hata Telkom wapeane 1gb for 1bob wacha ikae

Funny enough, am a telkom customer damu…yes network sio mzuuri saana…actually i have a kasmall smart phone, nimeweka a different telkom line altogether…huwa naiconnect kwa charger then 3G then nafungua hotspot, i browse on my laptop…Right now, am enjoying 2GB at 99 bob…network ni shida kiasi but ukiweza kusurvive kama kuweka simu mahaki kuna network, you will really enjoy this services…kama saa hii, i have an outside socket at my home, simu iko huko nje, na mimi net niko nayo kwa wingi

IDM SPEEDS NI NGAPI?

inaangaliwa aje? am just comfortable with what am getting especially juu ya mfuko

Inawesa kama ni x265

Son , si ununue faiba MiFi 300 BOB= 15GB 1 WEEK . UnaWeza weka MiFi polite Kwa nyumba bila wasiwasi Ati oooh network itapotea nikisonga pale oooh wacha wacha nizime bundles si siishe. Faiba si wakora kama Safaricom / Telkom. 4g full-time

is FAIBA in nyahururu? or in Nyeri or Karatina? if its not, then its not practical for me…the MIFI is a bit expensive, while a phone is just serving me right

lol with Hevc ultra hd ni 2gb tu

hevc imetuokoa kwelikweli

Mahal

Mahali nakaa i get full bars at 4G. Sijawai pata shida ya network ata kidogo. Labda shida ya maji kupanda juu naishi 3rd floor

Telkom 4G is more reliable in town for me. Nikitoka tao ndio naweza tumia Saf, which I rarely do sababu network ya saf is inconsistent. Both are good for calls anywhere.

Telkom serves me well never complained. Mahali niko 4G is well covered and superb so no worries. Safaricom wacha wakaukie huko na hiyo wizi yao.

Telkom Naivasha iko sawa kabisa data ya saf nilisahau

[ATTACH=full]174963[/ATTACH]
My current orange speed…I think orange iko fity

Telkom ni fiti. Acha safricom wapigwe vita wapunguze bei