Telegram app issues

So I have found out that the files that I view via Telegram are saved in the phone memory. How can I change so that the files are saved in the SD Card? @Deorro @vuja de

1 Like

Mi siyui. Phone yangu haina Memory Card slot

3 Likes

Me sijui sina telegram kwa simu

2 Likes

@uwesmake kuja usaidie wafuasi

…kama hio solution itaaply kwa whatsapp pia, pliz niitwe

2 Likes

I also gave up on that. This upuss of android treating the mem card as a step child is shit.

5 Likes

Sijui @sperminator alinichuja.

… ama simu inakushow system memory imejaa na ukicheki phone memory na memcard kumejaa space kibao.
kama kuna shule nitajaza admission form

1 Like

mimi sijui but i know its possible to view files without them being saved

2 Likes

Watu wa Android version 4.0 mnalia sana hamieni latest android versions muache kutusumbua
[ATTACH=full]33996[/ATTACH]

Because you use old versions of android or you don’t know how to use your android well

Okay, Marshmallow or lollipop?

Lollipop 5.1.1 na Mashmallow got those features za move to sd

1 Like

See I have app2sd app that doesn’t work among other shit.explain how to on kitkat.

Huyu mjamaa anajua vitu tatu tu juu ya Telegram, kutuma message, kuweka watu kwa group na expert knowledge ya jinsi ya kuwatoa.

10 Likes

:D:D I realized that when nimetukana hapa morning napata nimetolewa. Kama angekua admin hapa afadhali North Korea.

4 Likes

Ever since nilinunua simu ya 2gb ram i stopped using that app

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Enda settings ya telegram and say hautaki pix to be saved.

…labda hii app inaeza tusaidia

http://apk-dl.com/ursafe-media-redirector