Bana mbona hamkusema hii ndio baze ya offers…
Nimeshinda nikitumia saf kwa bundles and kuna telcom hapa ivi…
Wait a minute kwanza… kukona hii kitu wanaita wecome bundles… wele wele…
Shait alafu si nimepigia majamaa… nimeongea , nikaongea… nakwambia nimebonga … i say alafu nimebonga… nikabonga … hehh… sawa … na 20 bob tu… na saizi kuna bal ya 19bob… enyewe mimi saizi sio Tuuuuruuuuuruuuu