teenager stoopidity....last chapter

"Sasa Leviathon?"amengotea akipotelea kitchen.

"Poa"nmejibu.Kichwa bado inagonga kama zile drums za legio maria.Mwili nayo nkama SGR ilipita na mimi.

My pal amemfuata kutoka nyuma.Anakaa pia yeye usiku yake imekua mrefu sana.

"Manze bro cd imekaukia kwa mjeledi,"ameanza.Jana alibleki after akanyage hiyo malysia.Anyway sasa mimi sidai hizo story sijui kwa nini ananishow.So kuchange topic nkamshw anishow nini ilihappen jana.

So,apparently after kudrown kale kamzinga nilianza kusugua wamama matako apo outering matatu zina debe zikipita.Nlikua nipigwe na wazae lakini,haizuru.

To the place where bash ilikua tukitembea naambiwa nlikua natembea step one two,chini.Waliamua kunibeba the moment nliangukia mti na jicho ya left,haizuru.

On site kwa bash,news ni nilipiga makelele before huyu malaysia atokee.Kumhug apo ndio nlikojoa na hivo ndio mwanaume alibleki,haizuru.

Hapo ndio my pal alilewesha hii mathogothanio ya Leviathon,room,hiyo ingine ni yao.

Anyway,uyu pia wake nmekula kadhaa.Mwanaume ni kucount losses na utembee.Tukatoa lock kila mtu akaenda kwake.

ALMOST TWO WEEKS LATER
"Niaje,"my pal amecall,“Leviathon joh nakojoa mchele.”

Long story short,kumbe my malysia,the one I knew for only a week,alkua na STI.Na hivyo ndio my pal alikua infected.

Now if alcohol messed me up on the occassion or saved me…is for you to decide

[ATTACH=full]110917[/ATTACH]

No wander sometimes i always prefer to drink heavily than kufck malair

@Sterphyle ushanena

Haha @leviathon wewe Ni fala Sana itabidi tupatane base kegnation unichapie hii riba unfiltered

@The_makufu chukua jagi nitokee

huyu hata hajui maana ya malaysia…
head to the village dictionary my fren

@Young kaa radar na upotee mbio staki umama apa

[ATTACH=full]111276[/ATTACH]
nv jifunze ku tag the correct people…fwackien siet shenzi!