Tecno w5lite rebooting

A friend’s phone has been randomly rebooting since juzi its a tecno phone,is there a way i can flash it just to buy her some time to get new phone?

Si kuflash ni 200bob pale downtown

I would like to repair it muself before i take it to a fundi…

Pelekea nyapdragon anukishe utunguu nayeye acha kukuwa mean

What’s the model of th Tecno and if possible what’s its build number? Use Miracle to read info and post it here.

Tecno w5 lite

Read the build number, send it over.

Sema ni simu yako hutachapwa

Unataka kuimpress dem that you did the repair yourself.

Its a serious friend

Mm niko team naomi

Tecno w5 hua haiponi huo ugonjwa. Haijalishi utatumia SP flashtool, Miracle loader au box.

Ukipata tiba tushirikishe na wengine tujue.

Jeso christo! Acha kunitoa maini

Nipo serious. Utatry hard reset utaona haifai utaona udownload firmware yake bado itagoma.

Utahisi ulikodownload firmware ni mbovu.

So utachukua tecno w5 nyingine na kuextract firmware yake na kuinstall huko na bado itagoma.

Also kuna w5 lite na w5 lte isijekua hatujaelewana ikapona ukahisi umepata dawa.

Yangu ni tecno W5 lite