[SIZE=7]Amazon cutting total of 18,000 workers as tech layoffs mount[/SIZE]
[SIZE=7] https://www.cbsnews.com/news/amazon-layoffs-18000-workers-tech-layoffs/ [/SIZE]
Kazi mingi sana ziko under threat the way technology inakuja.Nurses na care givers wako safe, hamna robot itaweza fanya iyo kazi
Ni kidogo…amazon has over 1 million workers
In any case, kazi ya madaktari kama GPs ya kudiagnose iko hatarini… AI in future through a scan or blood test itakwambia shida iko wapi and recommend the appropriate treatment. Surgeons na nurses tu ndio wako safe kwa health industry
yet
Hata surgeons hawako safe. Wazungu wataunda robot ambayo inatumia laser beam na kufanya operation with greatest precision