tech elders saidieni

i have classified information in my phone memory cards, how doi i lock the mem card such that simu ikiibiwa someone cant access the info ?

save them kwa drive it’s more safe and secure…memorycard password depends on the type of phone you are using…

so there is no independent password card ?

Tar the classified info aka ngwati, then password zip the the tarball. Just make sure uko na backup online

mkubwa ongea lugha mwananchi ntaelewa

Install hii encryptor : https://www.oversec.io/
Hata S.S.U hawatakupata

Just save sensitive and important data kwa cloud. Memory card in 2023?

Encrypt the data that is saved on the memory card most good phones have that feature

Kitu simple ni kueka kwa external drive na ulock using BitLocker, iko kwa Windows…alafu copy hio data to cloud kama Mega.nz iko very very secure na unapewa 10GB free, hii ukisahau password kureset si rahisi so weka password utakumbuka. At least anywhere utaenda unaeza login na udownload because inakuja na app pia. Hii haitaji utaasisi mwingi mdau.

Following

kama ni files unaangalianga from time to time, compress na uweke password

upande wa backup, tumia different hard drives, burn kwa dvd na uweke kwa multiple clouds (drop box, one drive na google)
usitegemee cloud moja
copy.com walizama na files zangu 2013

uzuri nilikuwa nazo one drive

Weka cloud na 2step verification… Physical drives si secure

cloud
mega.nz owned by kim dotcom msee anapenda privacy sana
by senji

Cloud ikiwa compromised!?

asandeni elders

Ng’ombe wewe,just chew the mem card and swallow,sasa wanasemaga wako na mtoto hapa…gitakunyeee

https://i.redd.it/h6976q1un8v91.jpg