Iliendaje wadau
Kimewaramba 2-1. Very useless team.
What did you expect from a team that scored in the 90th minutes in the first game?
Kaka, bado arsenal wako nil nil…toa ile swara tafasali, hii game imekua ngumu sana, aston villa wanategea tufanye blunder banae
They are managing to get the ball in very dangerous places, mungu saidia
Tia kichwa maji nanii, makasi iko na Aston villa
Hehe, wamenipea stress saidi but mungu sio kimani, wueh Sasa naweza lala nikiskia fiti vile inafaa
Vijana wa Mikel arteta ndio Sasa timu ne njega…2 wins not conceded any goal
Washikilie papo hapo. Ingawa new winger pale City anababaisha dunia
@Dudu1 hajasoma hio comment yako.wacha nimshtue aisome Kama anatumia kamusi na dictionary juu hataelewa nini unasema yeye kama mwana Chelsea
game bado changa. Raya saved you guys jana