team building

So jana nimeongea na manager wa pale Sopa lodge hii serpent iendelee kumeza on my bill niliambia nyoka i travel jana nika book room , room already paid for by the company since ni yangu , ok basically for the people hawajawai enda team building , there usually is committee of several bigwigs . so what happens 7 people are put in a komitee 5 executive members and 2 useless powerless mafala wakuonyesha wananchi wamewakilishwa . the five normally divide the duties like accommodation , transport , drinks , food , snacks and miscellaneous stuff . usually senior bigwig anapewa budget ya accommodation na mwingine transport mimi kama semibigwig always lazima nipewe drinks (alcohol and soft) na wananchi hunipenda since sina ukikuyu .

usually wazito hutuma manyoka zao in advance na mwenye budget always books the rooms for the extra ‘workers’ . btw jamaa wa accommodation makes alot of money coz watu wakiona pombe ya bure hukunywa mpaka asubuhi so known walevi hupewa kakitu in advance waambiwe wacheze chini without rooms which is better coz ukilewa mpaka asubuhi unalala nini ? so kama room ni 15k unaongea na mwananchi anakubali 5k na Uwes atawapea pombe mpkaka asubuhi morning kuna rooms mbili au tatu zenye wata oga na kulala kiasi though wasee hu prefer kuoga na kundelea kukunywa , around 50 percent go for this deal but wale wa maringo , wa kanisa na madem huwa wanakataa . so budget ya ulevi huwa juu kiasi to affect decision making ya members .

hii ndio serpent nimetuma , leo lazima nikule hii samo its not a negotiation and this is the land of the free no negotiating with terrorists . atleast after Arsenali tumeuwa Manchieth ntawapaa mbicha . mtu atakuwa Naivasha tupatane kwa bar , mimi ndio nashikilia budget ya pombe hakuna kunywa tusker Jameson pekee leo ndio ile siku wananchi wanatii .

kitu swafi nime i mine juzi

[ATTACH=full]142570[/ATTACH]

4 Likes

so you finally found a midget?

26 Likes

rhino on the loose

15 Likes

hekaya baadaye VS ama?

2 Likes

Noma sana.

1 Like

Mkubwa, do you go to church ?

6 Likes

iyo story yote na mbisha haizambatani…indeed a rhino on the loose

2 Likes

si midget kuka kitu iko 5’5

1 Like

Midget Hippo unleashed…
Anywho its akoho season, what would @uwesmake do?

hekaya lazima na mbicha but sitafikisha threshold ya @Ebru

1 Like

church niliacha , sunday nursing hangover but bibi na watoi ni compulsory .

4 Likes

:D:D:D:D:D , very loooooong story with no correlation to the mbishas!

2 Likes

kuom naivasha nikuchape mzinga but hapo the lowest tier ni Smirnoff vodo

anko unachocha na hekaya refu only to show us a midget

6 Likes

ngombe wewe

1 Like

kuja nikurushie number ya Slay queen wa IG swafi wa kupeleka such lodge

1 Like

:D:D:D:D:D hio midget ndio napenda kitu tamu sana cheki miguu

1 Like

hapana hii ndio saiz yangu staki mifupa

Anko hata mimi naenda team building lakini ungazatted locashen, nitatuma till number

4 Likes

Huyo akiruka mahali mko na hizo miguu kunatokea Tremor

3 Likes