One of the guys is a close friend of mine…started off with him in academic writing long time back the guy built himself up and established sevral businesses…
But to be honest those things ni mikebe hua wanakimbisha masinga dam, moja ikikutana na kona baridi at 100km/h the braking, shearing, centrifugal forces…itararuka kama karatasi
FIA wamecheza vipoa Sana wameona wakipea hizo overgrown babies chance wata haribu safari rally. Next ni watu wa probox watakuja na entitlement Pia hao wakuwe allowed.
Typical Kenyan way of doing things. Paint stripes on a donkey, call it a zebra, shout down any criticism because “at least we’re trying. Wewe yako iko wapi”.
:D:D:D:D
betika walikuwa wanaingia na hizo magari yellow??:D:D:D
ziko na kilutch ya kushika na mkono? ziko na handbrake na gear murefumurefu? ziko na rollcage?
watu wawachange ufala banae:D:D:D
In fact, Subaru zote zimetolewa kwa list.
Hakuna ata moja imebaki.
Only serious racers with rally cars such as Mitsubishi Lancer Evo X and Volkswagen Polo GTI are allowed.