Teacher Student Altercation

Something Very Seriously WRONG with our Juveniles and Youth …

  • Bad Attitude
  • Nil Manners …
  • Nill Respect …
  • Nil Brains …

[MEDIA=twitter]1631007482754498561[/MEDIA]

Back in the Day …
IF I ever DARED behave in this manner towards my Teachers or Parents …
I would swiftly regret the event …

There should be NIL tolerance towards this sort of behavior ,
Spare the Rod and Spoil the Child …
These are the Zakayo’s and Riggy Gee’s of tomorrow …

BURE KABISA …

you adapt western rules, you get western problems

In our days you would have died first before ufikirie umeffi kama huu. In fact they would have killed you to deny you the luxury and opportunity to commit suicide.

Huyo mtoto i’m sure hufanya ufala kama hio home na parents wake.

Wueh huyo kijana anajiona vile anatoshana, kama mama yake anampin kwa wall hivyo, huyo ndume angemfanya disaster:oops:.

kababa hajawai ambiwa no ! meanwhile panjeet na popat wanalimana

[MEDIA=twitter]1631037165525258242[/MEDIA]

Sijui nikisema ni issue ya father absence nitakuwa nimekosea? Juu a male parental figure angekuwa hapo, angekuwa amefreeze.

This is what happens when families have no fathers

Hii ni Ile vita ya kufunga shule na mtu.

Singo matha problems

It’s with the parent (mother) not parents. Definitely there is no father figure present in that picture for such a young boy to be acting like.

Katambe:D:D

Woke women type ya malaya mzee @TrumanCapote…wale wa… nataka tu mbegu… will finish society

South African singo madha menace

He he he,father figure sometimes bado huwa,nakumbuka tukiwa primary kuna jamaa alikuwa na hio tabia ya kubishana na walimu,mwingine alinyongea yeye Kwa maua ilikuwa karibu na staff room mpaka jamaa akatii

Part ya pili hiyo vida ni ka wasee wamesimama kando wawapatie time kiasi wagandane heshima idumu kwanza ndyo wa intervene
imenikumbusha dem old hae skul dayz kweli:D:D

We did this like every term in school, that’s how bullying was dealt with, and people knew their limits. Nothing to write home about.

Hizi aibu za kiufala hapana, kids should be disciplined from home. This is obviously a kid who has not learned to shut his mouth and listen to an adult.

i wish I would have done this to some teachers back then… some were from hell…imagine ukiwa std 3 unachapwa kofi ya mwanaume wa 30 years

kwanza prefects na list zao za noise makers ! hio jina “wanted” was no joke !