Teach your sons some things.

Was filling air kwa gurudumu za jalopy yangu this morning kwa hii Shell ya Membley na there was another ninja also in line waiting to fill his tyres

Alishuka akakuja kujiangalilia nikijaza as we engaged in small talk. Venye nilimaliza, he requested nimuwekee gari yake pia. Ati hajui kuweka. He was so embarrased telling me this. Nigga didn’t know ata gari yake huwekwa PSI ngapi. Anyway, nilimiwekea 60PSI na tukaachana.

He looked like a rich kid so nilielewa. Funny we still guys have dudes who can’t do some minor things. Huyo akipata puncture usiku am pretty sure akikosa usaidizi atapatwa hapo achunishwe sukuma na majamaa. Guys, teach your sons to so some shit.

Sanitize hapa…
[ATTACH=full]329099[/ATTACH][ATTACH=full]329100[/ATTACH]

Umetupatia some good advice lakini ukatuchafua macho kwa nini?

60? Aii yawa kwani ni tyres Aina gani

Bado nimekwama hapa

Wewe heri ulimfanyia bure, mimi ningemuitisha 50/= ndo a style up

Hata mi nimeshangaa…Labda ni tractor ya Massey Ferguson :smiley:

Rusungu apana mdomo changu.

Was a Nissan Caravan with huge tyres kama za zile magari za tourists.

Huyu Massey Ferguson ndio alikuwa Baba ya Yule sir Alex Ferguson wa Manchester United ile ya kitambo.

Huyo jamaa ataishi kudhani tyre zote huwekwa 60 :smiley: I shouldn’t be laughing lakini he’s in for a rude shock

The big tyre ya Massey Ferguson inajazwa na 18.

[ATTACH=full]329099[/ATTACH][ATTACH=full]329100[/ATTACH]ako kwa msitu tayari
ni kutokelezea na kurudi mau foresthttps://media.giphy.com/media/jUwpNzg9IcyrK/giphy.gif

:smiley: niggaz here are very funny, mtu anataka tu kutusafisha macho, lakini ana attach story ndefu totally unrelated :smiley: ghaseer

Hio ni upus, I’m sure there’s a youtube video on how to fill tyres. Huyo alikuona ka fala.

The rich kid saw you as someone he could tell to fill up his tires and you did it. End of.

Labda io kijana ni hustler imeomoka tu juzi juzi, babake hakuwa na gari, don’t judge him harshly

How do some people look “rich”…siku hizi ata mtoto wa @vuja de akitoka paipu kama amevaa adidas fake juu chini na aende kupiga raundi village market anakaa tu rich kid… you can’t differentiate

singo mother product

:smiley: gaddem! Well played son! Yaani huyo jamaa amecheza zile blind pass za Ronaldinho lookin one way passing the other :smiley: very subtle. OP amecheswo kufanywa mtu wa mkono

Labda ulikua unakaa mchafu and he didn’t want to touch the inflator’s nozzle after you.