TCS MARATHON NYC

For the past hour nimekaa nikitizama hip race…the endurance these guys have!! Steadily trotting for more than one hour!

This Kenyan lady is on fire!!
[ATTACH=full]206085[/ATTACH]

Doll ni ya nini?
Akisha stima.

She’s on fire buana

Mount hio kitu kwa ukuta otherwise itapasuliwa na junior akijifunza kutembea.

Halafu aje hapa kuuliza super glue in ya how much…

Kipii watabaki kuwa kipii, yangu mime mount na nilikuta jamaa hanging kwa mount

Mujamaa yaani unatumia peasant woofer aka sayonachieth na vile wewe hutuchocha ati ni billionaire kumbe ni @kelele tuu

Kipii nazubaisha yeye na Laptop…
Teefee iko na screen protection… Iko insured pia just in case Kamau aikujie when am not around…

Huja notice hio 50bob note hapo juu???..ya mandazi ya asubuhi

This is savage in totality… Next you go say that even his double queen bed is actually a 3×4 contraption deserving not the name bed

Kamworor amelemewa na wahabeshi last 500 metres.

sio Sayonachieth but nakubali ñi ya peasant…ni some Chinese brand. khupipi alileta …ndio maana badi natafta Soundbar. Ule mujamaa anaitwa @syndicate hapatikani…

Msito @syndicate tokea banaa usaidie raiyaa

:D:D:D sioni fefte naona mania tu…lakini savegry is welcome

Hii “screen protection” ni gani na hupatikana wapi?

Screen damage(by child) cost me a 32" sony TV. Had to fork over 40k for another teeve as it was uneconomical to repair the damaged one.

Tembea pale eBay. Mine took months but ilifika

:D:D

Sailing on the same boat. Boy alibomoa my 32, I ended going back Kwa soko. Screen ndio TV, so iki-die, that’s it…

Leta link birrionea wa sayonachieth:D

Birrionaires mbona hamkukuja na nonstop flight? :smiley: Kudos to Mary Keitany!