TCRA yawataka wanaotumia mitandao ya kijamii kusambaza habari kujisajili

yote haya ili mtu mmoja ajisikie raha

Tutasambazia wapi au aje endapo hiyo mitandao imefungiwa…

Cc: @Mahondaw

Lets see our end point, ukiiga kujisaidia kwa tembo, the fault is yours!

wamechanganyikiwa sasa, total madness

Kwa maelezo hayo ya TCRA kama nilivyosoma ktk link uliyo ambatanisha naona kifo cha akina Tanzagiza, kurasa za Chadema, CCM na za Zitto kabwe au ACT zikifa kifo kibaya.

Pia hii ni mbinu ya kuzuia kufanya mbinu mbadala ya kutuletea habari za bungeni kupitia hizi kurasa baada ya kusitishwa bunge live.

Naona watunga kanuni hizi wamejiandaa kuzima sauti taarifa zozote hata zile njema.
Pia kama ni wana CCM wanajipiga pini wenyewe wanasahau mitandao na hizi kurasa zilivyo wasaidia uchaguzi mkuu wa 2015 kupata kura.

Hii ina maana kupost video kama haujajisajili marufuku hata kama ni vichekesho.[ATTACH=full]176480[/ATTACH]

Sa hv naona angalau heading inaendana na contents, na sio kama ile thread iliyotangulia…
Hii ni hatar sana kwa mustakabali wa kupashana habari…

Polepole hatatuma tena zile habari za chama chao.

Hii pia ina maanisha hata ile channel ya mradi wa SGR inayoleta updates za mradi iliyopo youtube itatakiwa ijisajiri na kutimiza mashariti ya hizo

Wameshaunganisha nyuzi naona

shule tunaenda kusomea ujinga (in faiza foxy’s voice)

Bado nchi haijanyooka tu?

Your account is hacked.?
Tutafika tu, kisichoeleweka hapo ninini?
Unauchungu sana na serikali ya Tanzania.? Jambo hilo liko wazi wewe unatetea. Hongera