TBT

(hii hainge goja mpaka thursday)
Fidel, Dad and Mum Baringo district hospital -Kabarnet staff quarters 1976
[ATTACH=full]28495[/ATTACH]

20 Likes

Kwani uliwekewa mshere? Leo ni Saturday

Nice pic but hiyo sura ya baba… sijui cameraman amemfanyia nini …though Ida has a beautiful smile

2 Likes

kumbe hii bitterness haikuanza jana na mnasemanga eti ni juu alifinywa…

4 Likes

MZAE LEO LABDA IWE TBS

1 Like

Very Lovely pic.

ile phombe ya jana bado kuisha kwa kichwa

2 Likes

Ida msupuu:)

kwa hivyo bibi ya baba amenoneshwa na taxpayers money?
hii mwaka ndio baba angestand president

1 Like

@Meria Mata nitafutie tbt ya mbisha ya madem wa kikaranga nywele na ile kikombe ya 15 ya kupima maziwa imetobolewa tushimo kwa base. It reminds me of where i came from

1 Like

Kumbe baba aligongwa kichwa na ngombe kitambo.

6 Likes

:D:D:D:D

2 Likes

Kienyeji Dwy Fwy

“…You agree not to use the service to submit any content that is abusive…” @old monk, this rule haa been broken. Take action

Yaani mtu akigongwa na ng’ombe haifai kuwekwa hapa? Ama ni baba tu? :D:D

2 Likes

@old monk huyu mtoe on grounds of using the service to promote content which is hateful.

Against who?

Against baba

Baba who’s that?

1 Like

Raila

Oh how did he get that scar?