TBT

[ATTACH=full]471453[/ATTACH][ATTACH=full]471454[/ATTACH][ATTACH=full]471455[/ATTACH]

Kumbe wewe bado mutoto!

:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:

whatever happened to blueband chocolate? Hiyo kitu ilimaliza ata mwezi kweli. Most likely a rip off ya nutella but nakumbuka nikifyeka mkate mzima kavu na hiyo choco. Reminds me of softa soda another scam project

Hahaha i remember that delicacy. Kitambo sana before recently borns akina @Kuna Vitu Sipendi wazaliwe

Si unaweza kujiundia yako by mixing blueband with chocolate

People are lazy buana,hio ni kazi mingi

By the way do you know that you don’t have to buy peanut butter from the shop? You can easily make yours at home

I always do that,problem ni it becomes a bit oily so natumiaga mostly kwa mboga kienyeji ama matoke na obambla

Kijana nilipata softa, kwanza ilikuwanga inauzwa 10bob. Mi si kijana mdogo vile unaniona

[ATTACH=full]471551[/ATTACH]

It was a horrible recipe, I doubt it was well-received in the market. Ni kama bonobo flani aliongeza tu chocolate kwa assembly line akasema kazi kwisha

:D:D:D:D:D:D I remember thinking the same think nikiikula

our most favourite snack in high school

My grandmother’s favorite, hii na engine ilikuwa inaitw Rocket

[ATTACH=full]471638[/ATTACH][ATTACH=full]471639[/ATTACH][ATTACH=full]471640[/ATTACH][ATTACH=full]471641[/ATTACH]
Enzi zile baada ya shule kufungwa in August, wazazi walitusafirisha hadi kwa grandparents. Mkate ilikuwa ni day one tu( it was part of the shopping) hizo remaining days ni kukumbana na Ngwashe, nduma, mihogo, ndizi etc.

[ATTACH=full]471649[/ATTACH]

[ATTACH=full]471650[/ATTACH]