TBT

Nani hapa alikuwa anaenda video? So much memories made in these joints and new friendships.

[ATTACH=full]374542[/ATTACH]

Umekaa ocha sana inaonekana

kujificha chini ya mabench movie ikiiisha ndio uwatch hio next ya saa tisa

Nlikuwaga mteja mbaya enzi hizo

Niaje [COLOR=rgb(41, 105, 176)]@baba Panya

Back in 1995,96 and 97 hii ndio ilikuwa form. Kulikuwa na time ya kionjo asubuhi nilizichangamkia niaje. Sema ku dance ngoma za soukous kina yondo sister, sema kuona videos za mike tyson…That life was supa good. Very few people here will understand this.

Tulikuwa tunawekewa findeo kuanzia asubuhi on Sunday. Misha jioni at 9pm kuna porno

Fiti sana.

So true.

Is that Grandfather Owino in the crowd?