TBT YA UKWELI (WHAT WOULD A TALKER DO)

So leo nimeamua kuget vitu kadhaa nimekua nikibuy na mdomo. Nakuanga na ka ugonjwa ka ku postpone kudo vitu. Mimi huyo kwa mall flani kusaka tuvitu flani sipatangi kwa supa kawaida. Nimechapa mrando kwa supa sioni chenye kilikua kimenipeleka huko. Kuuliza hao ma attendants wakanishow nicheki next week.

Ile ujinga ya “ni buy nini…nisitoke hivo?” Ikanishika. Kichwa ikanishow nikiranda ufala, nitabuy vitu sina haja nazo, so best nikwachu top ups za vitu zinaelekea kuisha kejani. Katika hio harakati, ndiye huyo mama Kui na baba Kui. Hii couple niliwafanyia job miaka mob imepita na walikua watu wazuri. But ikabaki lazima ningeondoka juu sister ya baba Kui alikua anireplace, afanye job alipiwe college. Walikua wamenipea notice ya mwezi mbili so tuliachana vizuri. Baada ya salamu na pleasantries, wakaniuliza kama bado nafanya kazi ya hao nikawashow zii, nangangana tu na tubiashar small small.

Mama Kui akaniambia nichukue hiyo trolley kubwa anataka kunibuyia “ka sukari”. Mimi from embarrassment nikamshow zii, niko tu poa. Akaniambia " hebu wacha ujinga", akaniacha kichwa ikispin nimesimama hapo na baba Kui feeling awkward, ameenda amechukua trolley na kuanza kurusha vitu ndani. After amejaza ametosheka, tukaelekea kwa counter, akachukua basket yangu akamix vitu zikahesabiwa, zikalipwa na zikapakiwa.

Tuka chit chat kidogo akiniuliza naishi wapi and so forth. Baba Kui saa hio amebaki akilipia vitu zao. Akaita uber akanishikisha thao moja kwa mkono. Alafu venye baba Kui alitoka akamshow “Wa Kui si upatie …pesa ya kanyama” Ba Kui akacheka akatoa wallet akachuna thao kadhaa akanipatia. Uber fika, weka vitu ndani, goodbyes, tuma salami kwa watoto wao, left.

Kwa ride home, nikabaki nikijiuliza, nilikosea kuchukua pesa yao? Ningekataa kabisa wangeichukulia kama kiburi? Bado naskia ka guilt mahali…

Mama Kui insisted so sioni ubaya. Baba Kui hakuwahi…never mind :smiley:

Ni kama baba kui… ama wacha tu.

tuma hizo chapaa kwa hii number chapchap

Wooiye hapana. Aje sasa?

:stuck_out_tongue:

Brare!

DFHKMNMBLBH

:smiley: mzaha tu. They treat you better than s̶o̶m̶e̶ most people treat their own siblings. That is something.

Kwani ulikua unakaa umebeat ama?

I know;)

Nope. Maybe. However, Niko na kachinda kamoja, sishughulikangi na outward appearances saana… Kuna zile vitu mi husplurge on, like my perfumes na inner wear ama my night cap drinks. Naeza vaa T-shirt ya soo na jeans ya rwabe but nimevaa bra ya 6k…

Mehemehe

Ok

Ooh and shoes! I spend quite a bit kwa njumu, at least pair mbili za nguvu (na comfortable) kila mwaka.

[ATTACH=full]285843[/ATTACH][ATTACH=full]285844[/ATTACH]My latest splurge. Which is okay juu najua zitachapa hii mwaka yote.

Apana hukukosea. You did not beg. This xmas mimi nimejionea mengi. Hampers from different people. V well thought out. Tume-jienjoy sana na freebies…

One from my neighbour below made me cry. Utensils?? cups with funny slogans, meat, spices which I like…she is Jamaican, pampers za jitoto zetu, veg, cereals…haki I was so touched…

She had come knocking for me the day before and I thought she was annoyed about my loud music and so did not open the door then.

Then the next day I went to ‘apologise for the loud music’. Walahi she said ‘wangwan(our South Lando greeting these days) do you think I can be annoyed about loud music? come in’…nikaingia…woooi…I fled in tears with a big bag…

I will never ever forget her generosity and thoughtfulness.

Naeza understand kwa nini uli “flee in tears”. Siku hizi ni hard sana kupata watu wakua generous genuinely. Bila expectations na bila kua " reward" ya kitu ulifanyia msee.

Now that is what we call neighbourliness. God a bless kazi ya mikono yake.

Hii bra ya 6k inakaaje nione? Unaweza nitumia mbisha pale inbox? Of course uitume kama umeivaa ndo jione venye inakaa kwa mwili ya mtu

The way you Emphasize, you perceive uko na some entitlements, like mama Kui has got some Crush on you and that utatombea Baba Kui bibi sivyo?