hehe wacha tuachie hapo tu
the u must be knowing pale Salem kwa ile hoteli ilikuwa inaitwa “it is here” manze chapo ilikuwa inatoshana na kifuniko ya ndoo, tukiwa primo hapo kimathi, hiyo ndio ilikuwa base ya lunch
hehe i recall such a place, pia pale marish juu karibu laibu paliwanga base ya machapo bigi sana
Eeh?:eek::D:D
I’m sure there are other guys suffering like you coz of not being able to access certain foods dear to them. why don’t you check the business angle to this? Who knows, you may get nominated and win an award as the best agribusiness innovator under 45 from Africa.
The fermented maize meal dough (used to make busaa) uki karanga in a pan, then you add some suger una kula with tea in the morning! @uwesmake , @Mundu Mulosi , and others if you can recall, it was very nice. Then you carry in peper bag chuo primo, you eat at lunch time.
CHAPO YA UNGA YA UGALI
BILA KUSAHAU “NGUNJA MATU”
Zamba, samosa za ndengu, achari na chipo hapo vumira
[ATTACH=full]44343[/ATTACH] Goody Goody
Fanta origi
[ATTACH=full]44344[/ATTACH]
maziwa ya shule
[ATTACH=full]44345[/ATTACH]
kashata, simsim, maembe, mabuyu
I don’t think I’ll ever grow to old for mahindi choma na membe pilipili. I actually believe hii ndio tha mana from heaven that we read about…
MAKHALANGE BUT ILIKUWA YA HIGH SCHOOL UNAWEKA MAJI POLEPOLE NA SUKARI THEN UNAENJOY KAMA MTU ANAKULA WEETABIX
WEWE NI KAMA ULIANZA KUTRAIN KUTUMIA ZILE VITU ZA HASSAN JOHO MAPEMA .
when i was in std3 there used to be these candies that were popularly known as sweet-cigarettes. we used to buy them and imitate the act of smoking as we savoured the sweetness…hapa sidhani kuna mtu wa hio era:)
Goddy goody…
Fudge…
Patco…
Koo (the green round sweet)
@Riakanau I remember those :). Naweza imagine ile kerere ingeleta hapa kama wangeuza hizo to the kids.
There is th
There is the darker version of this with big chunks. Way better mollasses
Creamy toffee
hehehe i was thinking about that. it would create such a furore the current demos wouldnt compare to the ruckus that would ensue. things change…things really change…
Na miwa ya mahindi je???!!!
Kumbe wewe ni MLUHYA wetu