TBT The Sopranos

Mpaka Kuna watoto ,hio nyang’ao kweli , si unaita huyo muanamuke akam lojo .hapo hio nyang’ao omuhusband akileta nuks unamchapa kama umbwa after all ukilipa lojo inakua nyumba yako mpaka time iexpire

1 Like

Siwezi pigana na mwanaume over any woman ever na kuna kuingia kichaka.

1 Like

kwa nini anamuambia alale chini? kwani pia yeye anataka raundi yake … “hii nyumba kama ni kudinyana ata mimi nionjeshwe… nalipa rent aje na sikamuliwi”

Hahaha

Siezi pigwa na mwanaume ako na sauti soprano. Jamaa complying retardedly. Nikama aliona lodgo ndio more risky… Cuck to the bone