TBT....only legends will understand

Enough respect…hii iliweza

https://www.youtube.com/watch?v=A5v-7NhAS_Y

Hii kitu ukiwa na teje poa kama Panasonic RX-M300 ilikuwa inachuna mpaka unasikia uko dunia ingine. Very fine beats. Na SAA hizo ilikuwa radio cassette tape.

Ilikuwa inaisha mtu anachukuwa biro ana rewind. Them days. Sijui kama unakumbuka king lion sounds? Papa chali na hii anthem…

Papa chali alikuwa morio wangu mbaya. Alifanya nipende reggae mpaka wa Leo. Mix zake zilikuwa top notch

Sauti ya simba. Kumbuka hio pia Bw. Shifo.

Oh yes. This was real gold

Pupa Charlie ndiye huyu. [ATTACH=full]442220[/ATTACH]

the late papa lefty,. Jamaa walikuwa wanazunguka agricultural shows kenya mzima. Ilikuwa disco kichaa siku tatu mfululizo.

When reggae was REGGAE, kuna this song…strictly legends. Swafi :cool:

Tamu sana.

It reminds me of our grey Philips cassette player then. The first two equalizers juu kabisa, 3rd chini kabisa, can’t rem the rest but the sound was very fine.

Manzee Frankie Paul. Radio Sony double deck auto rewind. Speaker ya bass unaficha chini ya kitanda

https://www.youtube.com/watch?v=mdmBwym-dWo

Swafi. The base wacha tu

Remember this one…

Mhsrip. He was born blind but ngoma zake zilikua moto.

Chorus tu!!.
Hii ndio ilianzisha " chini kwa chini", " chini kwa chini". You dance spiralling downwards polepooole ,then upwards mosmos.

Nilishangaa sana kujua alikuwa blind. He was gifted.

Baaas. chini kwa chini ndio mchezo wa bata, chini kwa chini…:D:D

:D:D:Dmabazu wamekula chumvi uku

Mid 90s zilikuwa hit songs.

Naujue kuna mtu kama huyu
KING YELLOW

huyu ni peter tosh?

Acha na mimi pia nichangie kwa hii legend section. You could never miss this from papa Lefty the general himself;

https://www.youtube.com/watch?v=LDTm_Dyu4Eo

https://www.youtube.com/watch?v=7ms4zFAz-Qc

https://www.youtube.com/watch?v=mrmQwzi0Es0

https://www.youtube.com/watch?v=QuxKbFysa1Y

https://www.youtube.com/watch?v=aqQ_czOKWnI