TBT no unga edition

Secret Rendezvous,
Nilishawai kula slices with this song in the background.
Kila saa naiskia mie hukumbuka huyo donor, sigwes mind tena Ata kaa aliolewa

https://www.youtube.com/watch?v=Pyf1RmgRiRM

7 Likes

:D:D:D:D:D

umenikumbucha mbali!!!

Wapi yule mnubi,
[ATTACH=full]99092[/ATTACH]
@uwesmake njoo pande hii nikuonyeshe chakula ya kufikisha threshold each and every day

11 Likes

Nani anakumbuka hichi kiti, ukikaa vibaya kinakunasa ka pliers?
[ATTACH=full]99101[/ATTACH]

22 Likes

Ati hata kama ameolewa… Saitan!!:D:D:D

3 Likes

Nimefika

9 Likes

Weka vitu. Weka vitu kwa mpigo. Usianze zile zako za kubania ni kama malaier ako mwezini.

7 Likes

hii sigwes na sigwes kula, nawezapuke nikiona mtu akikula such a slimmy creature.

3 Likes

Juha kalulu created by mzee Gicheri Gitau
[ATTACH=full]99110[/ATTACH]

10 Likes

Which childhood generation do you belong? Mine is A
[ATTACH=full]99113[/ATTACH]

10 Likes

We used to listen to music from mud walls , by Francis rugwiti… aka njuhiga ya kuvyo.

Umesahau Compact Disc between ‘b’ and ‘c’.

7 Likes

Wacha wakule nyama, sisi tumeze mate !

niko B @Meria Mata wewe ni Guka

3 Likes

A & B

1 Like

zile za staff room za mateacher za mbao ndo nakumbuka…zile mbaya zilikua zinawekwa workshop so ukipotezaa ur seat tulikua tunaziiba kukalia temporarily as u look for ur seat…iyo kiti ukikalia nikukaa statue bila any movement kwa sababu ikikuchuna u will scream ur grandma’s full names shit used to b painful…alafu majaa wakijua wanakam kukuishake Frm behind :smiley:

1 Like

Rythm ya hio song is very fast. Ama ulikuwa baro baro :smiley:

3 Likes

[ATTACH=full]99121[/ATTACH]

6 Likes

@Meria Mata Guka wa Inooro has said today that if it’s possible, men should marry at least 2 wives. Nimezima radio.

6 Likes

Dagītarī leo umeniua :D:D:D:D:D

1 Like